Monday, March 21, 2011

KWANINI VIJANA TANZANIA WANAPOTEZA MUDA KUANGALIA MECHI ZA ULAYA KWENYE TV SIKU HIZI?

Wabongo kwa mpira wa ulaya! (wanajigongagonga) kumbuka miaka iliyopita hamna mtanzania aliyejua Arsenal or Manchester.
Sasa yaani hata walala hoi wanajua orodha,malipo ya wachezaji,familia zao za soccer team nyingi ulaya.
Kumbuka huu ni uchafu mtupu. Soma vitabu, focus na mambo ambayo yatakuletea maendeleo.
Wewe umekaa kwenye chumba cha kupanga ilala au iringa unazungumizia Manchster or Arsenal..Liverpool???

KWANZA ELEWA, HIZO TIMU, WACHEZAJI NA WASHABIKI WA ULAYA HAWATAKI KABISA KUWA NA NIGGERS, WATU WEUSI (WAAFRICA) KUSHABIBIKIA TIMU ZAO.

Najua hutaweka hii comment lakini naomba (please) uweke kwenye Blogu Posti watu tujadili hili jipu.(Freedom of press)

Yaaani, inasikitisha vijana wa TANZANIA wanapoteza muda wao mwingi sana kwenye mambo ya mipira ya ulaya.
Nchi yetu masikini na familia zako ziko kwenye hali duni.
Leo unakaa bar au chini ya mti masaa 6 au 7 eti unangalia Liverpool..
Dowans, Epa, Radar , maji hakuna wewe unafocus kuangalia mpira..??
Akili zako ziko wapi? Umelogwa nini?
Vijana wengi wekua wapumbafu sana , yaani total salvage.. Dead man walking. Sorry Kimarekani kimejitokeza.
Sisi wabeba maboksi wa Marekani tunasikitishwa sana na hii tabia. Kila tukija vacation Bongo , basi kila mtu na jersey ya mpira. Eti yeye ni mshabiki.
Kijana anauza chips kwenye kibanda anashangilia sana.. Tumeshinda Tumeshinda.. ehe.. Wameshinda wao sio wewe.
Jamani waelimishe hawa vijana waache uvivu na wapate kazi tatu sio moja.
Uza chips, Kata nywele,fanya ulinzi, sio kuangalia TV.
Watanzania wengi bado washamba wa TV.
Kupumbuka, watu wa manchester au Germany hawana Tatizo la Dowans, maji au kazi kama wewe mlala hoi bongo.
Wakiumwa mara moja ambulance inafika nyumbani. Waache wao wawe washibiki wa timu zao.
Focus on the reality.. You are poor and need to work on making it!
Barua kutoka kwa wabeba Maboksi Marekani.
Wadau please Comment

MKURUGENZI WA WABEBA MABOKSI
CALIFORNIA MAREKANI

1 Comments:

Anonymous Anonymous said...

your are right.

April 8, 2011 3:00 AM  

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home

Sharepoint Hosting
KARIBU TENA