Moto mdundo....
Timu ya Tanzania imeingia nusu fainali baada ya kuifunga Afghanistan mabao 3-0.
Wafungaji ni Meddy(Pen),Dorid Alberto a.k.a whiz na Arafat Xavi.
Mpira ulikuwa wa burudani na kiwango cha mashabiki kiliongezeka wakiwemo CMG(Cash Money Girls).
Jumatatu Tar 7 timu inaingia uwanjani kucheza nusu fainali na Somalia, hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi ,maana ushindi ni furaha yetu na sifa nzuri kwa nchi yetu...
Mashabiki tuwe wengi kama tuliojitokeza jana kwenye mechi ya rede kwa akina dada......................


0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home