Saturday, March 26, 2011

Wasanii na imani....


Wasanii wengi wamekuwa wakificha imani zao ama Dini wanazoamini kwa namna moja ama nyingine lakini katika ulimwengu wa sasa tumeona wasanii wengi wenye pesa ni wale wenye imani ambazo ni za kishetani na wale ambao wameamua kufuata mafunzo ama Dini zinazoaminika ni za kweli( Uislam na Ukristo) wamekuwa hawapati mafanikio na wengine kufungwa na kufupishwa maisha yao.Na wale ambao wameona dini haiwezi kuchanganywa wameamua kuacha muziki kabisa....swali langu ni hivi je kuna nini kimetokea kwenye ulimwengu wa muziki? je yaliotabiriwa yanakuja?
In the documentary movie 'This Is It', rehearsals recorded in early 2009 show Michael Jackson saying "We have four years to get it right or else it's irreversible". This brings into question as to what Jackson is actually referring to? Did Jackson have knowledge of an upcoming plan by the Illuminati? Let's not forget that Jackson was very much in the loop of conspiracy and still is even after his death. Why could Jackson mention a specific time scale? There are many theories of 2012 and the Mayan calendar, however, that is not to say that 2012 is the exact year as nobody knows for sure but one thing is certain; 2012 has been a hot topic not only as of recent but long before also.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home

Sharepoint Hosting
KARIBU TENA