Tanzania yatia fora International Students day Mysore







Vijana wa Kitanzania wanaosoma Mysore wakionyesha uwezo wa kucheza ngoma za kikwetu.

Maprofesa wakiwa wakiangalia kwa makini show inayoonyeshwa na watanzania




Viongozi wa wanafunzi wakifuatilia show kwa furaha

Iran nayo haikuwa nyuma



Wasudan wakiwa nyuma ya jukwaa tayari kwenda kuonyesha show kali.

Wadada kutoka Thailand wakionyesha maujuzi katika karate.


Yemen haikuwa nyuma...



Brother kutoka Sudan akichukua matukio...



Dada kutoka Nepal akionyesha ujuzi wake.



Majirani zetu kutoka Kenya wakishambulia jukwaa....


Afighanstan hawakuwa nyuma kutuonyesha burudani za kwao.
Wawakilishi wa Tanzania wakiwa backstage tayari kulishambulia jukwaa.....


0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home