Wanafunzi kutoka nchi mbali mbali wagraduate Mysore
Dorina Dennis Towo akipokea cheti chake cha shahada ya B.A
Cecilia Manfred Mtitu akiwa na rafiki yake kutoka China.
Dorina,Cecilia, na Caroline wakiwa kwenye picha ya pamoja na marafiki kutoka Iran
Kutoka kulia:Celestine(Chalii Yangu),Felix na Shweta wakifurahila menu ya nguvu kwenye Graduation ya Fisa-M
Adam H. Mzee, Aidan Kisongo na Mh. Fares Lyimo
Cecilia akiwa katika pozi mwanana.
Fares,Jordan,Ikunda,Daudi,Salome na Dilini
Fares Lyimo akiwa na rafiki yake kutoka China
Mgeni mualikwa Dr.Shaher,Makamu wa Rais wa Vyuo vikuu vya Middle East.
Fares na Adam
Cecilia,caroline na Dorina
Naomi,Ikunda na Salome
Wanafunzi kutoka nchi 14 wamegraduate katika Chuo Kikuu cha Mysore -India , tarehe 14/5/2011.
Nchi hizo ni Jordan,Yemen,Afghanistan,Iran,Uganda,Kenya,Tanzania,USA,Maldives,Somalia,Tajikistan,Sudan,Ethiopia,na China.


2 Comments:
Hongereni sana tena saana, nyie mliograduate na nakupa hongera mwenye blog hii. TUPO PAMOJA DAIMA
Duh!! Yaaa.
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home