Vidya Vikas yakaribisha wanafunzi kutoka Tanzania

Kwa Watanzania wote wanaopenda kusoma India ,katika mji wa Mysore, kwa kozi mbalimbali kuanzia Diploma, Degree na Post Graduate.
Vidya Vikas imefungua milango kwa wote watakaopenda kujiunga na muhula huu wa 2011-12.
Tafadhali tembelea www.vidyavikas.edu.in au wasiliana na e-mail zifuatazo:thamani80@hotmail.com na haruna_kifaa@yahoo.com


0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home