Monday, October 17, 2011

CCM -Mysore yazidi kujiimarisha



Tawi la CCM -Mysore limezidi kujiimarisha na sasa lina uongozi mpya ambao umeongeza na cheo cha katibu wa siasa na uenezi.

2 comments:

Mwanaharakati Chanya said...

Safi sana kwa kujimarisha mysor iko wapi?

Mwanaharakati Chanya said...

blogger tafdhari uwe unanipostia za ccm tu