Thursday, February 16, 2012

Uzinduzi wa taarifa ya Lishe


Hoyce Temu akiwa na mmoja wa watoto waliopo kwenye Mtandao wa Habari.

Prof.Joyce Kinabo,balozi wa Lishe na Watoto akihutubia.

Mheshiwiwa Mbunge wa Iringa Lediana Mafuru Mung'ong'o akibadilishana mawazo na mtoto Faith katika uzinduzi wa taarifa ya lishe ulofanyika pale Hyatt Regency Dar es Salaam , The Kilimanjaro.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home

Sharepoint Hosting
KARIBU TENA